Polisi wa Hong Kong
Polisi waliingia mtaani kutaka kuwaondosha waandamanaji hao amabao wamekusanyika mbele ya ofisi kuu za serikali mjini humo.
Polisi walipamna na waandamanaji hao kwa kutumia hewa za makaratasi,na inaarifiwa kuwa wataandamanaji kadhaa walijeruhiwa katika mapambano hayo na wengi wao wamekamatwa.
Waandamanaji hao wameufunika mji huo wa Hong Kong ,wakidai kuwa uchaguzi wa kiongozi ajaye lazima uwe wa kidemokrasia.
CHANZO: BBC Swahili
Waandamanaji
wanaodai demokrasia nchini Hong Kong wame zushga rabsha baina yao na
polisi wakati hali ya amani bado ni tete ikiwa ni zaidi ya wiki tatu
sasa waandamanaji hao kuwa katika mitaa ya nchi yao kudia uhuru wa
kujichagulia kiongozi wamtakaye.
Polisi waliingia mtaani kutaka kuwaondosha waandamanaji hao amabao wamekusanyika mbele ya ofisi kuu za serikali mjini humo.
Polisi walipamna na waandamanaji hao kwa kutumia hewa za makaratasi,na inaarifiwa kuwa wataandamanaji kadhaa walijeruhiwa katika mapambano hayo na wengi wao wamekamatwa.
Waandamanaji hao wameufunika mji huo wa Hong Kong ,wakidai kuwa uchaguzi wa kiongozi ajaye lazima uwe wa kidemokrasia.
CHANZO: BBC Swahili

No comments:
Post a Comment