Social Icons

Pages

Wednesday, December 24, 2014

RESOLUTION INSURANCE YANDAA FUNGA MWAKA PARTY KWA WAFANYAKAZI WAKE - NEW AFRICA HOTEL


Meneja wa Kitengo cha Mauzo Ndugu Walter Onyango akiwa makini kufatilia jambo huku Mkuu wa Kitengo cha Mtoa Huduma Tiba wa Resolution Nd. George Ngongi "Mzee wa Nani Mtani Jembe" akipokea ujumbe kutoka moja ya wateja wetu sherehe ikiendelea.
Meneja wa Kitengo cha Fedha na Mipango Bi. Catherine Ndung'u akimshukuru Mungu kwa kumaliza mwaka 2014 kwa mafanikio makubwa tulioyapata.

Afisa Masoko na Matangazo Bi. Angela Tungaraza akipozi na Meneja Huduma na Uhusiano Bi. Bulla Yatera wakifurahia sherehe nzima.

Meneja Uongozi na Rasilimali Watu Bi Edditruda Kway akiwa makini kufatilia taarifa ya mwaka huku Msaidizi wa Fedha Mwanaisha Mchomba akienjoy kinywaji huku akifatilia ripoti kwa makini.

Meneja Mkazi Ndugu Oscar Osir akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Lucy Orina na Bi. Angela Tungaraza zilizoandaliwa kwa ajili familia yake.


Meneja Mkazi Ndugu Oscar Osir akishukuru kwa dhati baada ya kupokea zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa Resolution.


Meneja Mkazi Ndugu Oscar Osir akitoa zawadi kwa Mfanyakazi Bora wa Kitengo cha Mauzo mwaka 2014 Ndugu Andy Seka.



Wafanyakazi wakiwa na nyuso za furaha baada ripoti nzuri ya mwaka huku wakichukua makulaji jioni ya jana.


Mshereshaji wetu Ndungu Daniel Emmanuel "Chief" akichukua msosi kwenda kijiachia pamoja na wafanyakazi wenzake








Meneja Mkazi Ndugu Oscar Osir akihitimisha Sherehe ya Funga Mwaka 2014 kwa kuwatakia wafanyakazi likizo njema ya Krismas na Mwaka Mpya 2015.
Team Resolution wakifurahia kwa kupeana zawadi mbalimbali kama ilivyo jadi yetu tunapoelekea mwisho wa mwaka. 2014 umekua mwaka kwa mafanikio zaidi kwa kutakiana heri katika kumalizia mwaka 2014 na kujianda kwa mwaka mpya 2015 kwa baraka.

Picha zote zimepigwa Blogger Alphonce wa Hisia Zangu Tz.

No comments: