
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec)
Matokeo ya urais katika baadhi ya majimbo, wapiga
kura wake wameonekana kuwa walikuwa na elimu ya kutosha kabla ya
kushiriki upigaji kura.
Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), majimbo hayo ni 153
ambayo matokeo yake yalikuwa yametangazwa na hayakuwa na kura ambazo
zilikataliwa kulinganisha majimbo mengine ambayo yalikuwa na kura
zilizokataliwa.
Jimbo la Korogwe Vijijini hakukuwa na kura zilizokataliwa kati ya kura halali zilizopigwa 72,225.
Jimbo la Mpwapwa hakukuwa na kura zilizokataliwa kati ya kura halali 46,412.
Jimbo la Kilindi, hakuwa na kura zilizokatali kati ya kura halali 46,830.
Jimbo la Lupembe, kati ya kura halali 30,994 hakukuwa na kura zilizokataliwa.
Jimbo la Madaba, kati ya kura halali 18,818 hakukuwa na kura zilizokataliwa.
Mengine ni:
Jimbo la Monduli, kati ya kura halali 61,296 hakukuwa na kura iliyokataliwa.
Jimbo la Mwanga, kati ya kura halali 41,229 hakukuwa na kura iliyoharibika.
Jimbo la Newala Mjini, kura halali 38,921 hakukuwa na kura ilikataliwa.
Jimbo la Newala Vijijini, kati ya kura halali 44,815 hakukuwa na kura iliyokataliwa.
Jimbo la Ruangwa, kati ya kura halali 62,172 hakuna kura zilizokataliwa.
Jimbo la Bumbuli, kati ya kura halali 44,011 hakukuwa na kura zilizokataliwa.
Jimbo a Kisarawe, kati ya kura halali 38,012 hakukuwa na kura zilizokataliwa.
Jimbo la Mkinga, kati ya kura halali 39,788 hakukuwa na kura iliyokataliwa.
Jimbo la Bukoba Mjini, kati ya kura halali 53,710 hakuna kura zilizokataliwa.
Jimbo la Kilombero, kati ya kura halali 99,255 hakuna kura zilizokataliwa.
Jimbo la Mlimba, kati ya kura halali 76,182 hakuna kura zilizokataliwa.
Jimbo la Mtwara Vijijini, kati ya kura halali 51,533 hakuna zilizokataliwa.
Jimbo la Kisarawe, kati ya kura halali 38,012 hakuna zilizokataliwa.
Jimbo la Mkinga, kati ya kura halali 39,788 hakuna zilizokataliwa.
CHANZO:
NIPASHE

No comments:
Post a Comment